Watoto wanapenda kupaka rangi kwenye kitabu chao na wakati huo huo wanaweza kusikiliza hadithi za Biblia zikisomewa. Watamtambua Bwana Yesu na huduma zake katika Habari za Agano Jipya zinazosomwa katika hadithi 56.
Njia hii ya kusikiliza ni njia rahisi kwa watoto kujifunza na kukariri habari za Biblia, hata kabla hawajaanza kusoma wenyewe. Ni kazi ya mlezi kumsaidie mtoto ili aelewe kwa undani zaidi. Baada ya kusikiliza habari azungumze naye juu ya yale ambayo mtoto ameelewa.
Biblia ya kupaka Rangi. Audiobook Agano Jipya – kwa kupakua
TZS 0.00Price
