top of page

MAWASILIANO

MAWASILIANO

Mobile: +255 713 609166

Email: contact@klb-publishers.org

MASAA YA KAZI

Jumatatu – Ijumaa:

08:00 – 16:00 

Jumamosi na Jumapili:

pamefungwa

ANWANI

Kanisa la Biblia Publishers

P.O.Box 1424, Dodoma 

Tanzania

WASILIANA NASI

Ukiwa na maswali mengine utuandikie.

 • Je, mtapokea kitabu changu na kukitoa?
  Tunasikitika kwamba kwa sasa hivi hatuna uwezo wa kuhariri kitabu chako. Wasiliana na Tanzania Evangelical Literature Ministry, SLP 1009, Morogoro, Tanzania ili wakusaidie kumpata mhariri au mtoaji wa kitabu chako kwa Kiswahili.
 • Kwa nini mnatoa kwa Kiswahili tu?
  Tunatoa vitabu vilivyotafsiriwa au kuandikwa kwa Kiswahili tu, kwa sababu tunaona siku hizi wahubiri wengi wanahutubia kwa lugha ya Kiswahili. Matumizi ya Kiswahili yanapanuka sana na tunataka kutoa mchango ili Kiswahili kiweze kukuzwa kwa ufasaha. Kwa sasa tunashindwa kujihusisha na lugha zingine. Wasiliana na huduma ya SIL [https://tanzania.sil.org/sw] na Chama cha Biblia [https://shop.biblesociety-tanzania.org/] ili upate maandiko kwa lugha zingine za kimataifa na lugha za asili za Afrika Mashariki.
 • Je, mnaweza kuchapa kitabu changu?
  Hapana hatuwezi kuchapa vitabu. Sisi tunachapa baadhi ya vitabu vyetu na Inland Press, SLP 125, Mwanza. Tunaomba uulizie huko.
 • Mnatoa vitabu bure?
  Tunasikitika kwamba hatuwezi kufadhili vitabu. Vitabu vyetu vimefadhiliwa kiasi kwa hiyo tunauza kwa bei ya wastani. Tunaweza kukuambia njia za kulipa ndani ya Tanzania na kutoka nje pia.
 • Je, tutapata kipunguzo kwa vitabu vyenu?
  Ndiyo, tunatoa vipunguzo kufuatana na orodha yetu ya bei za vitabu. Agiza orodha ya bei hapo mbele.
FAQ

MADUKA YA VITABU

Maduka ya Vitabu (Bookshops)

Arusha

Soma Biblia (Arusha Branch)
P.O.Box 2696

Arusha, Tanzania
Mobile: +255 766 615 746 

Location: Duka linapatikana kwenye Jengo la TFA, Sokoine Road (A104). Duka linatazamana na benki ya CRDB. Pia unaweza kuingia kupitia Esso Rd.

Arusha

KIMAHAMA Literature Center

P.O. Box 14140 

Arusha, Tanzania

Mobile: +255 765 141 441

Location: Col. Middleton Road.

Dar es Salaam

Soma Biblia 
P.O.Box 12772 

Dar es Salaam, Tanzania
Mobile: +255 754 292 995

Location: Barabara ya Mwai Kibaki, Mikocheni B, upande wa kulia kwenda Sanitas Medical Centre.

Dodoma

Kanisa la Biblia Publishers
P.O.Box 1424

Dodoma, Tanzania
Mobile: +255 713 609 166
Email: contact@klb-publishers.org

 

Location: Dodoma, Ipagala, Eneo la Emmaus Shule ya Biblia, Kwenye mataa ya Dar Road ingia Emmaus Road (Emmaus II), fuata vibao.

Dodoma

Soma Biblia (Dodoma Branch)
P.O.Box 4231

Dodoma, Tanzania
Mobile: +255 743 661 166

 

Location: Block K Uhindini Street Dodoma karibu na UBA Bank na Amana Bank.

 

Iringa

Soma Biblia (Iringa Branch) 
P.O.Box 1088

Iringa, Tanzania
Phone: +255 765 910 495

 

Location: Njia panda kati ya A104 na Miomboni street. Duka linatazamana kituo cha mafuta.

Mbeya

Soma Biblia (Mbeya Branch)
P.O.Box 1062 

Mbeya, Tanzania
Mobile: +255 768 444 990 

 

Location: Eneo la Kabwe, Karibu na Full Gospel Church kwenda Block “T”.

Mwanza

Soma Biblia (Mwanza Branch)
P.O.Box 6097
Mwanza, Tanzania
Mobile: +255 755 355 445 

 

Location: Barabara ya Makongoro katikati ya mjini na uwanja wa ndege, katika “Kiliniki ya Zamani”.

Biblia zinapatikana kutoka kwa | Bibles are available from

Dodoma

Bible Society of Tanzania 
P.O. Box 175

Dodoma, Tanzania
Phone: 026 2324 661

Mobile: +255 754 267 156 / +255 765 530 892 

 

Location: 16 Hatibu / 9th Road, Madukani Area

Itifaki ya Biblia inapatikana kutoka kwa | The Swahili Concordance is available from

Dodoma

Central Tanganyika Press
P.O. Box 1129

Dodoma, Tanzania
Mobile: +255 754 386 168 


Location: Chuo Kikuu cha St John, kilometa 3 kutoka mjini kwenye barabara ya Iringa.

bottom of page