top of page

MALIPO NA KURUDISHA BIDHAA

NJIA YA KUTUMA NA KULIPA

Tunaomba tupate kwanza agizo lako. Utaje njia unayopendelea kwa kusafirisha mzigo. Kisha tutaanda Proforma Invoice na kukutumia. 

Njia za kulipa kwa TZS ni kwa benki za NMB, CDRB, NBC au malipo kwa kupitia

M-Pesa. Ukiwa umelipa tutatuma mzigo kwa njia ile uliyosema. 

Bidhaa zote zinabaki mali yetu hadi malipo yatakapokuwa yameshafika kwetu. 

NAFASI YA KURUDISHA BIDHAA

Kama malipo yameshaingia kwetu tunajitahidi kukufikishia mzigo bila shida. Hakuna nafasi ya kurudisha vitabu vilivyotumwa kwako. Hata hivyo, kama oda yako imekosewa tutajitahidi kukutumia vile ulivyoagiza kwanza. Tutaandaa mzigo mara tunapopata bidhaa ile iliyotumwa kwako kimakosa. Gharama ya kutuma kwa KLB Publishers ni juu ya mteja, gharama ya usafirishaji wa kutuma bidhaa iliyorudishwa ni juu ya ofisi ya KLB Publishers.

bottom of page