Watoto wanapenda kupaka rangi kwenye kitabu chao na wakati huo huo wanaweza kusikiliza hadithi za Biblia zikisomewa. Habari za Agano la Kale zinasomwa katika hadithi 49.
Njia hii ya kusikiliza ni njia rahisi kwa watoto kujifunza na kukariri habari za Biblia, hata kabla hawajaanza kusoma wenyewe. Ni kazi ya mlezi kumsaidie mtoto ili aelewe kwa undani zaidi. Baada ya kusikiliza habari azungumze naye juu ya yale ambayo mtoto ameelewa.
Biblia ya kupaka Rangi. Audiobook Agano la Kale – kwa kupakua
TZS 0.00Price