top of page

Margitta Paul

Biblia hii ni kwa watoto wadogo hadi miaka 9 wanaopenda kusoma au kusomewa Habari za Biblia, wanaopenda kuchora na kupaka rangi. Picha za kupaka rangi zipo kwa kila simulizi (Hard Cover), jalada gumu.

 

Kurasa 224

 

"Nitafurahi kama kitabu hiki kitang’aa kwa rangi mbalimbali na kufanya habari za Biblia zionekane mbele ya macho ya mchoraji. Pia habari zisizofahamika sana zinaweza kufahamika zaidi kwa njia ya kupaka rangi. Watoto wadogo hasa wa umri wa shule ya awali wanapenda sana kutumia kalamu za rangi na kupaka picha kwa rangi mbalimbali." – Margitta Paul

Biblia ya Kupaka Rangi

TZS 7,000.00Price
    bottom of page