John Stott
Mifano ya Kanisa, Injili na Huduma kutoka katika 1 Wakorintho 1 - 4. Ujumbe wa pekee kwa ajili ya viongozi wa Kanisa la leo.
Kurasa 102
"Katika kazi ya kuandaa mafundisho haya kwa watu wengi zaidi, nimeshangaa kabisa na kugundua kwamba mistari hii ina ujumbe unaohusika sana na viongozi wa Kikristo katika ulimwengu wa leo." – John Stott
Wito wa Viongozi wa Kikristo
TZS 3,000.00Price