top of page

William MacDonald

Ufafanuzi Hai wa Biblia (Believer‘s Bible Commentary) unaeleza Waebrania, Nyaraka Saba za Kanisa na Ufunuo wa Yesu Kristo. Mafungu magumu yanafafanuliwa kwa maneno rahisi na kwa lengo kumwandaa Mwamini kwa siku za mwisho, pamoja na nyongeza za majedwali na ramani.

 

Kurasa 368

 

"UFAFANUZI HAI una lengo la kuchochea upendo kwa neno la Mungu na hamu ya kuisoma ili mwamini apende kuchimba zaidi ndani ya hazina yake ya ufafanuzi usiopungua nguvu." – William MacDonald

Ufafanuzi Hai wa Biblia, AJ Vol. 4. Waebrania - Ufunuo

TZS 18,000.00Price
    bottom of page