top of page

William MacDonald

Ufafanuzi Hai wa Biblia (Believer‘s Bible Commentary) ni kitabu kinachotoa maelezo ya kila mstari wa Biblia kwa upana na kwa kina sana. Katika nyaraka zake Mtume Paulo, anahimiza maisha ya kushirikiana vema katika familia, katika Kanisa na katika jamii. Pia analieleza Kanisa limwone Yesu Kristo ili lijiandae kwa kurudi kwake.

 

Kurasa 401

 

"UFAFANUZI HAI unatoa kwa kila mmoja kati ya waamini ndani ya familia ya Mungu hazina kubwa ya kuchunguza Biblia." – Paul R. Van Gordener

Ufafanuzi Hai wa Biblia, AJ Vol. 3. Wagalatia - Filemoni

TZS 18,000.00Price
    bottom of page