William MacDonald
Ufafanuzi Hai wa Biblia (Believer‘s Bible Commentary) ni kitabu kinachosaidia kuelewa mistarimigumu ya Biblia kwa undani. Matendo ya Mitume na nyaraka tatu muhimu za Paulo zinaeleza mwanzo wa Kanisa na msingi wa Imani ya Kikristo.
Kurasa 425
"UFAFANUZI HAI KWA MAISHA YA KIROHO umeandikwa kwa unyenyekevu, upendo na hekima kubwa, na hivyo inafaa sana kutumiwa wakati wa kujisomea Biblia katika utulivu na hata kwa kujiandaa kwa masomo ya Biblia."
Ufafanuzi Hai wa Biblia, AJ Vol. 2. Matendo - 2 Wakorintho
TZS 18,000.00Price