top of page

William MacDonald

Ufafanuzi Hai wa Biblia (Believer‘s Bible Commentary) ni kitabu kinachosaidia kuelewa mistarimigumu ya Biblia kwa undani. Injili nne zinaelezwa kwa kuitukuza kazi ya Yesu Kristo.

 

Kurasa 546

 

"UFAFANUZI HAI unabeba utajiri wa maelezo ya muktadha na inatoa mwanga jinsi maandiko yanavyoweza kueleweka siku hizi ili msomi wa Biblia abarikiwe." – Dk. W. A. Criswell

Ufafanuzi Hai wa Biblia, AJ Vol. 1. Mathayo - Yohana

TZS 18,000.00Price
    bottom of page