top of page
klb_logo_black-01.png

William MacDonald

Ufafanuzi Hai wa Biblia (Believer‘s Bible Commentary) Changamoto ya Ujumbe wa Manabii kwa maisha yetu. MacDonald anamwonesha Yesu Kristo katika Agano la Kale. Anatoa maelezo unabii wa Agano la Kale ulivyo­tekelezwa wakati ule au wakati Yesu Kristo alipofika au katika maisha yetu. Pamoja na nyongeza ya majina ya watu na mahali.

 

Kurasa 408

 

"UFAFANUZI HAI una mkazo zaidi kwenye mafungu yanayomtaja Mwokozi ajaye. Mafungu haya yanapewa umuhimu na kuchunguzwa kwa undani zaidi. Zaidi ya yote, Neno la Mungu lenyewe, kwa kuwa limeangazwa na Roho Matakatifu wa Mungu, lina umuhimu kuliko kitabu chochote cha ufafanuzi wa Biblia" – William MacDonald

Ufafanuzi Hai wa Biblia, Agano la Kale Vol. 4. Isaya - Malaki

TZS 18,000.00Price
Quantity
    bottom of page