top of page

„Mwimbieni Bwana Wimbo mpya!“ 

 

Kitabu cha Nyimbo zenye Kodi za Gitaa na za Kibodi, nyimbo mbalimbali zinazopendwa na watu wengi.

 

Kodi zimeandikwa juu ya kila nyimbo, ili wanaopiga gitaa na kibodi waweze kutumia kodi kwa kuongozo nyimbo.

 

Nyimbo 227 pamoja na jedwali ya kodi za gitaa.

Nyimbo za Wakristo

TZS 7,000.00Price
    bottom of page