top of page

William MacDonald

(Engl. True Discipleship)

Kwa watu wanaotaka kuwa wafuasi wa kweli wa mafundisho ya Yesu Kristo. 

 

Kurasa 123

 

"Inaweza kuwa rahisi kuanza kuwa Mkristo, lakini kwa wale wanaomfuata Kristo ni gharama kubwa hasa pale inapobidi kupitia adha za kila aina, kutengwa na watu na kuona taabu kwa ajili ya Kristo. MacDonald anaonesha tunavyoweza kuvumilia tukiwa na ari na uthabiti kumfuata Yesu."

Mtumishi Mwaminifu wa Yesu

TZS 3,000.00Price
    bottom of page