William MacDonald
Matatizo ya Tamaa Mbaya (The Problem of Lust).
Kijitabu kidogo chenye maana sana katika Maisha ya Mkristo anayetafuta utakaso.
Kwa kweli, tatizo la tamaa mbaya lipo. Usidhani kwamba wewe umeshapita kiwango cha kujaribiwa na tamaa. Shetani anapiga vita. Mara kwa mara anashinda na humwangusha hata Mkristo kwa ajili ya tamaa. Lakini pia siku hadi siku ushindi upo unaoleta furaha kwa njia ya YESU KRISTO. – William MacDonald
Matatizo ya Tamaa mbaya
TZS 1,000.00Price