top of page

Anni Dyck, Ruth Läufer

Muhtasari kwa ajili ya kuwafundisha watoto wenye umri wa miaka 4-12 Neno la Mungu kwa mfululizo wa muda wa miaka nane. Kila kitabu kimepangwa kwa nusu mwaka. Vitabu kwa rika zote jumla ni vitabu 16 pamoja na picha zake.

 

"Masomo Bunifu ya Biblia yaliandikwa juu ya msingi wa upendo na kujitoa kwa ajili ya kizazi kikubwa cha watoto wanaoishi katikati yetu na wakiwa na thamani kubwa, lakini mara nyingi hatuwajali kama inavyotakiwa katika mapenzi ya Mungu. Yesu Kristo alituagiza tuwafundishe mataifa yote wakiwemo watoto kuyashika yote kama tulivyoamriwa naye."

Masomo Bunifu ya Biblia (Kitabu na picha)

TZS 16,000.00Price
    bottom of page