Masomo saba ya kufundisha warsha ya kumfuata Bwana Yesu, maandalizi ya ubatizo na somo la ufuasi. Mafungu ya kukariri yanamsaidia mwamini mpya kufahamu mistari muhimu.
Mwanadamu hawezi kujibadilisha asili yake yeye mwenyewe. Anaweza kujielimisha, lakini hawezi kuzibadili nia na tabia zake za asili. Maana yake, ameshindwa kujipendekeza mbele ya Mwenyezi Mungu, wala hawezi kujiokoa mwenyewe. Kwa hiyo anahitaji msaada unaofaa zaidi. Msaada huo ni YESU KRISTO.
Mafundisho ya Imani na Ubatizo
TZS 1,000.00Price