top of page

John Lennox, David Gooding

Maneno muhimu katika Biblia yanaweza kuleta utata kwa mtu asiyeyazoea. Waandishi ni wataalum wa lugha ya Biblia wanaoeleza kiini cha ujumbe mkuu wa Biblia. Kitabu kinamfaa hata msomaji asiyefahamu lugha za kibiblia.

 

Kurasa 149

 

"Prof. Gooding na Prof. Lennox ni viongozi wanaoweza kufuatwa kuhusu maswali ya msingi ya maisha." – Justin Brierley

Lulu za Biblia

TZS 4,000.00Price
    bottom of page