Harriet Hill, Margaret Hill
Biblia ilivyo muhimu katika lugha na tamaduni za watu wote. Kitabu kinaonesha mitindo jinsi ya kuwashirikisha watu nje na ndani ya Kanisa kwa kuwaruhusu kutumia vipawa vyao na utamaduni wao.
Kurasa 293
"Watu wengi wamekuwa wakisoma Maandiko au Biblia lakini hawajui mbinu za kuwasaidia kufanya kwa vitendo yale ambayo wamekuwa wakiyasoma. Nimekisoma kitabu hiki chote na kimenisaidia kujua mbinu nyingi za ufundishaji wa Neno la Mungu." – Richard Yalonde
Kuweka Biblia katika Maisha
TZS 11,000.00Price