Stephen Lungu, Anne Coomes
Kijana Stephen Lungu alivyotoka gizani, alivyokamatwa na Yesu alipokuwa kiongozi wa genge la “Black Shadows” na kuanza maisha mapya, alivyokua na kumtumikia Mungu.
Kurasa 354.
Mungu atakutumia wewe, bila kujali hali yoyote iliyopo. Maombi yako, uaminifu wako, katika kufanya wajibu wako ijapo kidogo tu, yote hayo ni ya muhimu sana. – Stephen Lungu
Kukimbia Nje ya Kivuli Cheusi
TZS 7,000.00Price