top of page

John McQuoid

Maisha na Matendo ya Kikristo. Kitabu hiki kinasaidia masomo ya ufuasi na kinatoa mwongozo wa kanuni za maisha ya Kikristo kwa Mkristo aliyeokoka.

 

Kurasa 137

 

"Kitabu muhimu mno kwa wote wenye hamu ya kumjua Mungu zaidi na zaidi. Kinasaidia kuchunguza Maandiko na mafundisho yake kwa undani." – Kelvin Samwata

Kuifahamu Imani na Kuitendea Kazi

TZS 4,000.00Price
    bottom of page